Blogger Widgets

July 7, 2012

BLuE mAGIC SHOW!!!BABY NA jay Moe kutoka Wateule!!



Ukiona alama ya blue   ujue ndio nile show ya jay moe ikisindikizwa na uzinduzi wa blog ya kijanja mjini www.folclassic.blogspot.com
Leo ndio leo ndani ya ukumbi wa Jambolee ndani ya mji wa songea.Ni usiku wakuamsha popo walio lala.Show itasimamiwa na super MC ABUU THE PRINCE kutoka fol classic company.BASI SAWAAA!!!
2join pamoja kuanzia saa2 usiku.ngoma kama WE BISHOO,STORY 3,MAISHA YA BODING,FEMOUS na nyingine kibao.Fol classic ndio kisiwa ca entertainment!!!

No comments:

Post a Comment