Blogger Widgets

September 16, 2012

Hili ndio Gari SHETA alilomnunulia Mwanae alizaliwa siku chache kama ZawadiSiku chache kabla ya Qayllah (mtoto wa shetta) kutoka arobaini
baba yake amzawadia zawadi ya gari aina ya

Opa mwaka 2003 rangi ya Silver....."Nisingependa mwanangu akodishiwe Tax au kudandia lift kwenye gari za watu wakati wa kupelekwa clinic na sehem mbalimbali....hivyo ndio maana nikaamua kujidhiki na kumnunulia binti yangu gari hii na pia kuudhihirishia uma ni kiasi gani nampenda na kumthamini mwanangu kipenzi" Alinena Rais huyo wa Darstamina