Blogger Widgets

October 17, 2012

Hayo Ndio matukio yaliyojiri Taifa kwenye Mchezo wa Simba na KAGERA

Ngassa baada ya mechi

 
Simba wakishangilia bao lao la kwanza katika mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar leo, kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Timu hizo zilitoka 2-2.

Beki wa Kagera, Amandus Nesta akiokoa mbele ya Sunzu

Nesta akimdhibiti Haruna Moshi wa Simba

Benjamin Effe akimdhibiti Mrisho Ngassa

Kipa wa Simba, Juma Kaseja akupangua mpira uliopigwa langoni mwake

Benjamin Effe akipiga shuti linalookolewa na Mwinyi Kazimoto

Kocha Mkuu wa Kagera, Abdallah Athumani Seif 'Kibadeni' kulia akiwa na Msaidizi wake, Mrage Kabange

Kikosi cha Kagera Sugar leo

Kikosi cha Simba leo
Mrisho Ngassa akimtoka Daudi Jumanne wa Kagera Sugar

Nesta na Sunzu ilikuwa shughuli leo

Daktari wa Simba SC, Cossmass Kapinga akimtibu Sunzu
Salum Kanoni akilalamika kwa refa, Ronald Swai kutoka Arusha

Ngassa akitafuta mbinu za kumpokonya mpira Martin Muganyizi wa Kagera Sugar 

Bao la kwanza la Kagera

Benjamin Effe (23) akimpongeza Themi Felix kufunga bao la kwanza la kagera. Kulia na Kanoni

Juma Nyosso alipomuangusha Paul Nwai ndani ya eneo la hatari na kusababisha penalti

Kanoni anafunga kwa penalti, Kaseja ameangukia kulia, mpira kushoto kwake 
Hatari kwenye lango la Simba SC 
Emmanuel Okwi akisababisha kwenye lango la Kagera, lakini Kanoni amelala na kutoa nje mpira
Hatari kwenye lango la Kagera
Hatari kwenye lango la Kagera
Kipa wa Kagera Andrew Ntale akiwa chini baada ya kuumizwa  

Ntale akifurahia sare baada ya filimbi ya mwisho
 
 

No comments:

Post a Comment