Blogger Widgets

December 30, 2012

Huyu ndio Mwanadada aliejitokeza Ukraine akiwa anafanana Complete na Michael Jackson

Mwanadada huyu kutoka nchini Ukraine anayefahamika kama "Elena Romanenkova ambaye pia ni mpiga picha, amekuwa akijichukua picha kibao ili afanane zaidi na mfalme wa pop Michael Jackson ambaye alikwisha fariki.

Elena amekuwa akijifunza mitindo mbali mbali ya kucheza ya Michael Jackson..... hebu mtizame hapo chini.