Blogger Widgets

December 17, 2012

Polisi wamkimbia Mtuhumiwa wa mauaji na Ubakaji baada ya kubadilika na kuwa nyani

Click  Join This Site”  uwe MEMBER of FOL CLASSIC










. 




 Mtuhumiwa wa mauaji na ubakaji huku akiwa na rekodi ya kuwatoroka mara mbili polisi nchini Zimbabwe majuzi ametoa kali ya mwaka na kuwafanya mashuhuda na polisi waliomkamata kutimua mbio baada ya njemba hiyo kubadilika na kuwa nyani.Bwana Ndlovu alidakwa na wananchi wenye hasira katika eneo la tukio, na kwa kuwa walishachoka na vitendo vyake
walitaka kumpa fundisho la maisha kwa kumchoma moto lakini kwa bahati nzuri, aliokolewa na polisi ambao waliamua kumchukua ili wampeleke kituoni, cha kushangaza sasa wakati wapo njiani walitahamaki polisi kujiona wamemkamata "NYANI" na njemba imeyayuka. Ndpo Polisi walipiga mayowe na kutimua mbio wao na Raia