Blogger Widgets

December 23, 2012

Super Star mwingine aliepata kashfa ya Picture za ajabu

Mwanamitindo Nicole Natalie Austin maarufu kama Coco Austin, amezaliwa mwaka 1979 huko Tarzana California.
Akiwa na miaka 18 alishinda Miss Ujena Mexico na ndio ukawa mwanzo wa kujulikana kwake,
amewahi kufanya kazi katika kampuni ya Playboy kwa muda wa miezi sita katika shughuli na sherehe zote 
za Playboy Mansion, amewahi kutokea katika filamu za Low-budget R-rated Films ikiwemo Southwest Babes (2001), Desert Rose (2002) na the Dirty Monks (2004)