Blogger Widgets

December 18, 2012

Ya wakubwa Watoto kulala:Vyakula vinavyoweza kuwatia Nguvu nyingi kwa yenye Uhakika wapenzi kabla ya Kukutana Hasa Mpenzi wa Kiume


Kiujumla kilichokuwa kina uzuri moyoni basi kina hamasa katika mapenzi, hii hujumuisha hadi chakula, chakula Bora. Katika hali hiyo naomba nizungumzie kwa uchache vyakula ambavyo tukila huongeza afya ya mapenzi na afya ya miili yetu kwa ujumla,na kuwafanya wapenzi waweze kuhimili mambo yao.

1. Spinachi, Kabichi na Mboga Mboga!
Tena hivi kwa kwetu Tanzania vimejaa kibao tu na wala havina gharama sana, sema tatizo letu tukishakuwa na uchumi mzuri kidogo hutaki tena kula vyakula vya bei nafuu!






















2. Chai isiyokuwa na sukari nyingi, na kupunguza vinywaji vyenye sukari nyingi mathalani soda.

    
3.Kula sana matunda kama mlo mmoja badala ya kula matunda kama kisindikizio baada ya kula, mfano wa matunda ni machungwa, mapeasi, ma apple, kwa watu wa mbeya "Mafyulisi" n.k.























4. Glass ya Red Wine na Nyama kwa mara chache























5. Mayai ya kuku wa kienyeji ya kuchemsha





















6.Korosho, Karanga,Mbegu za Alizeti na Maboga.



7.Maharage na Protein kwa wingi.






















8.Minofu ya samaki, mathalani sato!
 





















9. Ngisi (hasa kwa wanawake) na pweza!


 




















  10. Vipande vya chocolate nyeusi kwa uchache.

 

11. Strawberies
 




















12. Asali na Maziwa




















 

Huu ni kwa uchache kuhusu vyakula hivyo, nimeshindwa kuvitolea maelezo mengi maana kila jamii ina utaratibu wake wa kuviandaa(kwa vile vinavyopikwa) ila kwa uchache nawaomba mtosheke na hayo!