Blogger Widgets

January 22, 2013

Hawa ndio wasanii wakiume waongoza kwa Kunyuka Pamba(Kuvaa Vizuri) ndani ya Bongo


cover 
Desturi ya kuvaa nguo kali na za gharama muda wote haitegemei uwezo peke yake bali moyo na utayari wa mtu kuwa muumini wa uvaaji pamba kali. Kuna mastaa kibao nchini ambao licha ya kuwa na uwezo mzuri wa kifedha wameendelea kuvaa kawaida tu (si jambo baya sababu ni uamuzi binafsi).
Lakini wapo wasanii ambao wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kujiweka katika utanashati wa hali ya juu kwa kuvaa nguo kali na za gharama. Japokuwa wanaweza kuwepo wengine, hawa ni miongoni mwa wasanii wa Tanzania wanaopiga pamba kali zaidi kwa mujibu wa Bongo5.
1. Jux
jux 2
jux 3
jux
2. Hemedy
BA_9s2PCMAAlpUW.jpg large
BA3ZhtYCUAAV9hJ.jpg large
hemed
3. Cyril
cyril 2
cyril
cyrill 3
4. Bob Junior
bob 1
BOB JUNIOR
bob6
5. Gelly wa Rhymes
gelly 2
gelly 3
gelly
6. Izzo B
izzo b 2

izzo b 3
izzo b
7. Diamond
diamond 3
IMG_0030
IMG_0155