Blogger Widgets

February 13, 2013

Mjue Msanii aliefariki Kutoka Kutoka Kundi la TMK Wanaume Halisi





Msanii wa kundi la Wanaume Family anayejulikana kwa jina la BK amefariki dunia leo katika hospitali ya Muhimbili kutokana na maradhi ya tumbo.

Akiongea na East Africa Radio Rich One kutoka Temeke alisema msanii huyo amekuwa akisumbuliwa na maradhi hayo tumbo kwa mda na alilazwa katika hospital tofauti kabla hajapelekwa muhimbili ambako mauti yamemkuta.


SOURCE EAST AFRICA RADIO