Blogger Widgets

March 25, 2013

Picha za Mastaa wa Kike wa Marekani wakiosha Utofauti Kabla ya Kufanyiwa Upasuaji wa Miili Yao na Baada ya Kufanyiwa Ili wawe Warembo Zaidi


Picha inamuonyesha muimbaji Beyonce kabla na baada ya kufanyiwa upasuaji katika pua yake pamoja na maziwa ili kuongeza urembo wake
 Amerie yeye amefanyiwa upasuaji wa pua
 Muimbaji Janet Jackson amefuata nyazo za marehemu kaka yake kwa kufanya upasuaji puani pamoja na maziwa
 Muimbaji katika kundi la Dest Child Kelly Rowland wewe pia amefanya upasuaji wa matiti yake
 Lil Kim ni mmoja wa waimbaji wa majuu aliyefanyia uso wake upasuaji ili tu kuonekana tofauti na kutengeneza vile anavyoona kwake ni sahihi
 Elise Neal pia ni miongoni wa msanii aliyetengeneza matiti kwa kutumia njia ya upasuaji
 Rapa Nicki Minaj naye pia ameingia katika listi ya kujitengeneza kwa njia ya upasuaji katika mwili wake