Blogger Widgets

March 23, 2013

Sinta a.k.a Mama Ushauri wa Kidigitali Ajichanganya Juu ya Ukahaba wa Chuo Unaofanyika

"Dearest Wadauzii

Nadhani wote tunajua kwamba vyuoni kuna mambo mengi sana na wanafunzi wa mageti kali huharibikia pale ama hujifunza ujanja chuoni, lakini mpaka dakika hii sijajua ni chuo gani kinachoongoza kwa ukahaba Tanzania perhaps hii itasaidia wazazi wanaongia ktk website hii, nimesikia mara nyingi kuna wanafunzi wengine wapo chuoni kwaajili ya kukuwadia wenzao wanaume na wakati mwingine wanazichanga mpaka wananunua gari mfano Chuo cha ustawi wa jamii kuna mwanafunzi kanunua Vitz kwaajili ya kukuwadia wenzie wanaume what a mess? mimi namjua huyo tu labda kuna mengi mimi na wewe hatuyajui ila yule anayajua hebu tulichnganue hili kujua ni chuo gani danguro.


Naomba utaje Chuo ambacho kina scandal nyingi za ukahaba na pia kama kuna maovu yanayoendelea, kuna maovu kama ya ku share bwana, lesbianism,  hayo kwa chuo yanafamika lakini kukuwadiana wanaume mpaka tuna drive bima heee si kitu kidogo inamaana huyo ni kungwi.


drop ya comment " Sintah