UMRI HALISI WA CELEBRITIES WA KIBONGO. ..Part 1.Kwa nini hawa wanao
itwa " celebrities " wa kibongo wanapenda kupunguza miaka yao?. Kisa
nini? au ndio waonekane ni watoto wa dogo ambao wanafanya mambo
makubwa?. Leo ninatoa miaka ya kuzaliwa ya baadhi ya celebrities wa
kibongo vis miaka wanayo dai kuwa nayo.
SASA NAKUJA KWA CELEBRITIES WA KIBONGO:
1. JUMA KASEJA...Anadai
amezaliwa mwaka 1985. Mwaka 2000 alikuwa kipa namba moja wa timu ya Moro
United, which means kwamba ameanza kucheza Ligi kuu Tz akiwa na miaka
14/15 ?
Kwa muonekano wake na rekodi zake, Juma Kaseja amezaliwa kati ya mwaka 1976 -1980.
2. BAMBO ( Mchekeshaji ):
Miezi kadhaa kwenye kipindi cha watoto wetu cha ITV alisema amezaliwa
mwaka 1985.. Nimeanza kumuona Bambo kwenye maigizo ya Kaole ITV mnamo
mwaka 2000 ambapo alikuwa anaonekana mwanaume mwenye zaidi miaka 25.
Kipindi Bambo alikuwa anaigiza kama Mganga wa kienyeji, na alikuwa
akimtaka Nyamayao (kipindi hicho yeye pamoja na Kibakuli walikuwa na
miaka 15 )
Kama Bambo anachosema ni kweli maana
yake ni kwamba, mwaka 2000 wakati akiigiza Kaole kama Mganga wa
kienyeji, alikuwa na umri wa miaka 15. Sio kweli.
Bambo atakuwa amezaliwa kati ya mwaka 1972 na 1976....
3. WEMA SEPETU : Mwaka jana
kwenye BDAY ya Wema Sepetu, aliyekuwa msanii Diamond aliandika kwenye
ukurasa wake wa face book, twitter na blogu yake HBD WISHES kwa wema
akisema " HONGERA KWA KUFIKISHA MIAKA 22 ". Kama Diamond alikuwa sahihi,
ina maana Wema Sepetu alizaliwa mwaka 1990, kitu ambacho sio sahihi kwa
sababu zifuatazo ;
Wema Sepetu alitwaa taji la Miss Tz
mwaka 2006. Under 18 hawaruhusiwi kushiriki shindano hili, hii ina maana
wema slishiriki miss tz akiwa na miaka 16? no way?. Mnamo mwaka 2006
wema alinukuliwa na media mbalimbali akisema amezaliwa mwaka 1988( I
ALSO DOUBT THIS ).( So miaka ya wema inabadilika kama matokeo ya kwenye
cheti cha mwanafunzi anaye risiti mtihani au cheti cha angaza cha mzinzi
?)
Wema Sepetu amezaliwa kati ya mwaka 1985 - 1986.
4. LE Mutuz anaficha umri wake
na ana jaribu kujutify kwamba yeye bado serengeti boy kwa ku behave
immaturely. Chanzo makini kinatueleza ya kwamba, LE MUTUZ alizaliwa
mnamo tarehe 16 DESEMBA 1961 , na baba yake alimpa jina la UHURU.
5. Diamond anasema amezaliwa mwaka 1989, lakini chanzo cha kuaminika kinasema, Diamond amezaliwa mwaka 1986.
6. MwanaFA anasema amezaliwa mwaka 1980. Chanzo cha kuaminika ( TENA SANA )kinasema mwana FA amezaliwa mwaka 1974.
From:Jamiiforum