Blogger Widgets

April 29, 2013

Mr.Blue Baisaaaa Baby,Amjibu Diamond Platnum Siku Kadhaa baada ya Diamond Kupiga Show Uk

IMG-20130429-WA002

Taarifa za uhakika kutoka news room reveals kwamba msanii wa kizazi kipya Najma Dattani is expecting a flight to UK anytime today headed to a music Tour akiongozana na Babylon Baisa aka Mr Blue just few days after Platnumz kufly pande hizo.

Recently rumor has it kitaani kuwa huenda kuna mpango wa makusudi umefanywa na muandaaji wa hii tour ili kuona itakuwaje endapo Baisa na Platnumz watashea stage moja na Najma ambae wamewahi kuhusishwa kushea nae shuka.
Back in days 2011-12 Blue alijipata kwenye danger zone kimahusiano na wyfee wake known as Wahyda kutokana na kusemekana kuwa na mahusinao ya kimapenzi na Najma Dattani.

If that is the case maybe that’s why Baisa aliamua ku-keep distance for peace, well done but its’ never end there for Najma coz later on alijipata kwenye rumor mpya ya kutoka na Platnumz.
Gonga continue reading kuendelea..

How would one feel once unakutanisha mtu mbili ambazo ushawahi ku jump nazo kwenye six by six; well lazma ichukue mood yako kiaina thou sound weird but you may consider this fact kwamba huenda ikarusha stimu ambazo raia wamezilipia ku watch show kali kwa stage especially kama bado kuna particles za jelous zina survive kwa Baisa na Platnumz dhidi ya Najma.

Recently hapa Bongo inafahamika wazi kuwa Platnumz anatoka na Penny mtoto mkali ambae hakuna daubt kuwa ame fall in love na mchizi to the max kiasi kwamba kila raia anaelewa kuhusu mahusiano yao.
To flash you back o previous days kuli happen bonge la gossip hadi kuwatoa mood raia wenye akili zao wakati ex wa Nassib talk about Wema Sepetu alipo sikika redioni akibebmbeleza penzi la Platnumz kwa njia ya simu ikidaiwa kuwa alirekodiwa bila kujua.
Wema Sepetu hajawahi kukubali kuwa bado anampenda Platnumz tena thou amewahi kukiri kuwa hamchukii which is good kibinadamu, but lets’consider kuwa ukweli anaujua yeye mwenyewe.

By the way Baisa na Wahyda currently penzi lao ni zito na they got a kid last year anaitwa Herry jina kama la mtoto wa Dogo Hamidu I mean Dogo Hamidu aka Nyandu Tozi ambae pia ana mtoto wa kiume aliembatiza jina la Herry kama kushow love kwa mchizi wake Mr Blue.
The pair survived despite the hard time iliyomkuta Blue hata wakati alipo mpoteza mama yake mzazi Bi. Halima ambae alizikwa pande za Bagamoyo mwaka jana wakati msanii huyo alipokuwa kwenye Tamasha la Zantel Epiq Nation huko Zanzibar.
From:baabkubwamagazine