Wasanii mbalimbali wa filamu nchini na wananchi wa kila rika jana walikusanyika kwenye viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam kuadhimisha mwaka mmoja tangu kifo cha Steve Kanumba. Katika maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na familia ya Kanumba na Jacqueline Wolper, filamu ya mwisho aliyoigiza Kanumba, Love and Power na filamu nyingine iitwayo After Death. Hizi ni baadhi ya picha za jana.
Source:BONGO5