Blogger Widgets

April 23, 2013

Video ya Binti aliebakwa na Kuzikwa Akiwa Hai


Mwanamke  mmoja  anadaiwa  kubwakwa  na  kisha  kuzikwa  na  watu  wasiojulikana  huko  kusini  mwa Nigeria....

Sababu  za  watu  hao  kufanya  ukatili  huo  bado  hazijajulikana.Hata  hivyo, Chanzo cha Upekuzi  kimepewa  taarifa  za  chini chini  kwamba  watu  hao  walimbaka  na  kumzika  mwanamke  huyo  ili  kuficha  ushahidi......

Tazama  video  ya  tukio hilo
  
From:Freebongo