Blogger Widgets

May 28, 2013

Check Kizaazaa Alichokifanya ADAM MCHOMVU Mtangazaji wa Clouds Fm Kuhusu Picha za Utupu za Lady Jay DeeKutoka facebook muda huu Acc ya Adam Mchomvu imepost hivi nanukuu " Picha za uchi alizopiga Lady Jay D bofya hapa" then akaweka link, ambayo binafsi sijaielewa so sikuona umuhimu wa kuifungua.
Account hii inayotumia jina la Adam Mchomvu sijajua kama ni yake ama fake na kama yake wame hack wakaandika au ameandika yeye mwenyewe, sitii neno hapa.