Blogger Widgets

May 20, 2013

Check Matukio ya Kufikishwa Kwa Mbunge Msigwa Mahakamani.


 Mbunge  Msigwa akishuka katika 
gari ya  polisi baada ya kufikishwa 
mahakamani mchana  huu
 Mbunge  Msigwa akishuka 
katika gari hilo la polisi tayari kwa
 kuelekea  chumba cha mahakama
 Mbunge Msigwa akiwa na gazeti
 mkononi baada ya  kufikishwa
 mahakamani  leo
 Watuhumiwa  wengine wa 
vurugu  za machinga  na polisi  
wakishuka katika karandinga la polisi

 Wakili  wa Msigwa  kulia  
akiteta  jambo nje ya mahakama

 Kada wa Chadema Frank
 Mwaisumbe akiingia na 
viongozi  wengine wa 
chadema mahakamani hapo
 huku  wafuasi  wao  wakizuiwa
 nje ya mahakama
 Wafuasi  wa Chadema  wakiwa 
 wamezuiliwa nje ya viwanja 
 vya mahakama kuu kanda 
 ya Iringa  wakati mbunge 
 alipofikishwa katika mahakamani  
 mchana  huu
  From:FRANCIS GODWIN