Blogger Widgets

May 30, 2013

Check Picha Mbalimbali na Video Ikimuosha P Funk Akimuelezea Albert Mangwea Huku Akitoa Machozi Ya Kulia Na Kuapa Kusimamia Haki Zote za Ngwea

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars


ngwea......
Kinachoendelea hivi sasa katika viwanja vya Leaders Club sasa ni kuwa karibuni wasanii wote pamoja wakishirikiana na familia ya Marehemu Albert Mangwair wamekutana kwaajili ya kupanga mikakati ya mazishi pamoja na kukusanya Rambi Rambi kwaajili ya msiba huo.
Hizi ni baadhi ya picha ambazo zinaonyesha baadhi ya wasanii na watu mbalimbali wakiwa katika viwanja hivyo.
Mmoja wa Ndugu Zake Marehemu Ngwair.
Mmoja wa Ndugu Zake Marehemu Ngwair.
ngwea.....
ngwea.......
ngwea....
ngwea...
ngwea........
 

Wakati Huo Huo Producer mkongwe katika game hii ya muziki, P-Funk Majani nae ameonesha ni jinsi gani alivyoguswa na na tukio hili la kuondokewa na msanii ambaye alikuwa ni rafiki yake wa karibu sana marehemu Albert Mangwair …
Majani ni producer pekee ambaye alishiriki kwa kiasi kikubwa kwa kuweza kufanya rapper Ngwair kutambulika katika game ya muziki wa Bongo Flava
Akiongea na mwandishi wetu kutoka GongaMx.Com, Majani ameeleza utayari wake katika kushirikiana na familia ya marehemu Albert Mangwair mpaka rafiki yake huyo atapozikwa

Mcheki MAJANI akiwa anaongelea suala zima kuhusina na msiba huu na utayari wake katika kushiriki
From:Gongamix