Blogger Widgets

May 20, 2013

Check Picha Mbalimbali za Show ya "Usiku wa Kumtoa Mama Yeyoo Nje ya Box" Ndani ya Maisha Club

 Weusi jana walipiga show iliyopewa jina la "Usiku wa kumtoa mama Yeyoo Nje Box" kwenye ukumbi wa New maisha  club jijini Dar es Salaam,G nako,Nikki wa pili,Joh Makini,Lord Eyez,Peter Msechu, Ben pol walikuwa ni miongoni mwa waliotoa burudani..