Blogger Widgets

May 26, 2013

Check Picha Mbalimbali za Wachezaji wa Taifa Stars walivyopewa SUTI KALI na Kilimajaro Premium Leager

Wachezaji wa Taifa Stars na benchi la ufundi katika picha ya pamoja wakionesha suti zao.


Wachezaji wa Taifa Stars, benchi la ufundi na maofisa wakuu wa TBL katika picha ya pamoja wakati wa kuonesha suti mpya


Wachezaji wakifurahia huku wakishangiliwa baada ya kuonesha suti zao mpya.


John Bocco na Erasto Nyoni


Wageni waalikwa wakifuatilia matukio wakati wa hafla ya Kilimanjaro Premium Lager kukabidhi suti mpya kwa Taifa Stars.

Shomary Kapombe, Juma Kaseja na Zahor Pazi wakipita jukwaani wakiwa ndani ya suti mpya za Taifa Stars zilizotolewa na wadhamini ambao ni Bia  ya Kilimanjaro Premium Lager na kukabidhiwa katika hafla ya kuwaaga iliyofanyika jana katika Hoteli ya Hyatt Regency na kuwashirikisha wadau mbalimbali wa michezo.
Wachezaji wa Taifa Stars wakiwa ndani ya suti mpya za kisasa walizokabidhiwa leo katika hafla fupi ya kuwaaga iliyofanyika katika hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. — with Don da browserKing Datch,Don le Ke and mwinyi kazimoto.