Blogger Widgets

May 23, 2013

Check Sasa Vile Viuono Vilivyozungushwa na Mwnadada SNURA Ndani Iringa

                         

 Kwamujibu wa manager wa ukumbi wa twisters iringa ALI COCO amesema SNURA amevunja rec ya wasanii wote waliokuja IRINGA na kufanya show katika ukumbi huu. amepata watu nwengi sana kiukweli huyu binti yuko juu na anakubalika sana kwa sasa.

 totoz za iringa
 Nuh mziwanda na h mbizo walimsindikiza dada yao snura
Yani ikuwa hatari full watu ilikuwa na show kali ya majanga na viuno show ndio ilimmaliza kabisa.