Blogger Widgets

May 29, 2013

Check Scene za Mapenzi Zinazoendelea Ndani ya Jumba la Big Brother South Africa


bolt
Macho ya watu wengi katika shindano la Big Brother yameanza kushuhudia vijimambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na love scenes zilizochukua nafasi usiku wa kuamkia leo kwa washiriki wawili walioanza kuashiria hali ya kutengeneza ukaribu wa kufahamiana and plus!Usiku wa kuamkia leo (May 29) wakati washiriki wengine wakiwa wameshalala, ‘Bolt’ ya Bolt ambaye ni mshiriki wa kiume anaeiwakilisha Sierra Leone ilionekana kuanza kuifunga ‘nati’ ya Betty mshiriki wa kike kutoka Ethiopia ambao walionekana kuwa na ukaribu wa faragha ulithibitisha kuwa wamesha bonyeza button ya uhusiano wa kimapenzi. Washiriki hao wote wako Diamond House ambayo mkuu wake ni Feza Kessy kutoka Tanzania.
Bolt na Betty waliofahamiana Jumapili iliyopita walishindwa kuficha mahaba yao mapya baada ya kuonekana wakiacha mikono yao kufanya kazi zaidi kwa kushikana kimahaba, na lips zao kusalimiana wa kisses gizani wakati wenzao wakiwa fofofo, na baadae kulala wakiwa wamekumbatiana huku Betty akiwa amemlalia Bolt Kifuani na mkono wake kuuingiza ndani ya t-shirt yake.
 
Bolt-2

Hiyo ndio couple ya kwanza kujulikana katika reality show hiyo yenye wapenzi wengi ambayo huwa na mambo mengi yakiwemo mapenzi, furaha, kukorofishana na wakati mwingine hata ugomvi yote ikiwa ni sehemu ya kila mmoja akutafuta tiketi ya kubaki katika jumba hilo kama njia ya kuutafuta ushindi.
Betty amekuwa nominated kutoka bila yeye kufahamu na Jumapili hii (June 2) ndio hatma ya safari yake ya Big Brother “The Chase itafahamika”.