Blogger Widgets

May 23, 2013

Check Video ya Mtangazaji wa Kipindi cha Tv Nchini Uhoranzi Alivyomnyonya Maziwa Live Mwanamke Kwenye Kipibdi Chake

 
Mtangazaji wa kituo kimoja cha Televisheni nchini Uholanzi aliacha watazamaji wamepigwa na butwaa baada ya kunyonya matiti na kunywa maziwa moja kwa moja kutoka mama mmoja wakati wa kipindi chake.
Mtangazaji huyo, Paul de Leeuw, alikuwa amealika kundi la wanawake kutoka asasi moja ambayo inaruhusu kubadilishana maziwa ya mama kati ya akinamama kwenye kipindi chake cha burudani, Langs de Leeuw.
Kwenye hiyo video, tafsiri ya mazungumzo yao yalienda kama hivi:
Leeuw: “Maziwa yana ladha gani, ni matamu? Umeshawahi kuyaonja?”
 
Wendy: “Ndio, huwa nayaonja mwenyewe kila wakati kabla kuyagawa”
Leeuw: “Nani anaweza kunipa rukhsa kuyaonja”?
Wendy: “Unaweza kuonja yakwangu, nimekuletea chupa tayari”
Leeuw: “Siwezi kupata moja kwa moja kutoka kwenye titi kati ya moja wenu?” (wahudhuriaji wacheka)
 
Wendy: “Well …. kama hautang’ata, unaweza kujaribu toka kwenye titi langu …” (wahudhuriaji wacheka na kupiga makofi)

Leeuw: (akijitayarisha): “Kamulia usoni mwangu!! haha, hapana, hapana. Ninafanya vipi?”
 
Wendy: “Sijui, sijawahi kunyonya kutoka kwenye titi moja kwa moja …”

 
Leeuw: (Baada ya kunyonya na kuonja maziwa kutoka kwenye matiti yote mawili): “maziwa kutoka kwenye titi la pili ni matamu zaidi, lakini nimepata ladha inayoonyesha ulikula asparagus jana” (Asparagus ni aina ya mboga)
 
 Wendy: “Well, sio jana ila nilikula asparagus Jumanne, haha”

Kipengele hicho kimeibua shutuma kali katika mitandao ya kijamii lakini Wendy ametetea mabadilishano hayo yasiyo ya kawaida, akisema ilikuwa ‘kwa nia njema’.