Blogger Widgets

May 23, 2013

Check Vituko vya Mtoto wa Amber Rose na Wiz Khalifa

Unaweza ukaona kama ni vichekesho,Ila ndio hali halisi kwa Amber rose,
Rapper Wiz Khalifa na Mtoto wao Sebastian.......Tokea kiumbe huyo azaliwe
alivotoka ambaer hospitali ajawahi kupanda tena kwenye gari letu.....
Kila ukimpandisha ni kulia kulia na yeye so atuwezi kufanya kitu ambacho
mtoto wetu kitamuhumza'' Kauli aliyosema Amber Rose akifaniwa Interview
na kituo cha Habari cha Uingereza juu ya swali la kutokuonekana kuzunguka
na mtoto wao mara kwa mara........Pia Amber aliendelea kusema ''Kwanza bado
mdogo anaendelea kukua vizuri na sidhani kama ni muda muafaka wa yeye
kuonekana onekana pasipokuwa na sababu ya msingi akifikisha umri flani nadhani
Hali hiyo inaweza potea.....!!

Amber mwenye umriwa Miaka 29 Na Wiz Khalifa Mwenye Umri wa
Miaka 25 walivishana pete ya
Uchumba March mwaka huu kipindi Amber Rose akiwa Mjamzto...!!

Mlimbwende huyo ambae aliiyakulia umaarufu kupitia kazi zake na drama zake
na kitu kikubwa zaidi ni kutoka kimapenzi na Rapper & Producer mkali Kanye west
ambae kwa sasa kanye west anatoka na Mwanamitindo machachari Kim Kardashian
na karibuni nao wanategemea kupata mtoto.....!!

Mwisho kabisa Amber Rose alimalizia kuwa kwa sasa wameshupalia kwenye mipango
ya kulea mtoto wao kwa hali na mali licha ya kuwa Busy na mikakati ya harusi yao
Hivi karibuni.......!!