Blogger Widgets

May 14, 2013

Exclusive Pictures:Picha 27 za Mwana FA za Utengenezaji wa Tangazo la TV Show Yake



IMG_1046
Mwana FA ndani ya suspender
Mwana FA ndani ya suspender

 Rapper Hamis Mwinjuma aka 
Mwana FA leo alikuwa akishoot 
tangazo la TV kwaajili ya show
 yake ya tarehe 31 mwezi huu.
 Shughuli hiyo imefanyika kwenye 
mgahawa wa Akemi uliopo kwenye 
jengo la Golden Jubilee jijini Dar es Salaam. 
Pia Mwana FA kesho ataiachia 
rasmi ngoma yake iliyokuwa 
ikingojewa kwa hamu, Kama
 Zamani aliowashirikisha Wana 
Njenje na Man Dojo na Domo Kaya.
IMG_0899
IMG_0887
IMG_0914
Jamaa wa Crew
Jamaa wa Crew
Sheria Ngowi akiwa na msaidizi wake
Sheria Ngowi akiwa na msaidizi wake
Mrembo atakayeonekana kwenye tangazo hilo
Mrembo atakayeonekana kwenye tangazo hilo
IMG_0947
IMG_1017

IMG_1015
IMG_1010
IMG_0971
IMG_1021
IMG_1025
IMG_1031
IMG_1032
IMG_1039
IMG_1042
IMG_1037
IMG_1036

From:Bongo5

No comments:

Post a Comment