Blogger Widgets

May 29, 2013

Exclusivee:Dulla wa Planet Apata Mtoto wa Kike Usiku Huu..Mcheck Alivyomremba Kwa Maneno

Tarehe 29 mwezi wa 5 itakuwa ni tarehe isiyosahaulika 

kwa mtangazaji nguri wa kipindi cha PLANET BONGO ya EATV

 bwana Abdallah Ambua au almaaruf kama Dullah Planet baada ya mke 

wake kipenzi Amina Kagambo kufanikiwa kujifungua salama mtoto wao wa kwanza

 katika Hospitali ya Mikumi mnamo wa Majira ya saa tatu na nusu usiku huu...

Mtoto huyo ni wa kike wamemtunuku jina la Tamirah.

Fol Classic  inawapongeza na inawatakia 

wanandoa hawa Upendo na mafanikio mema katika kumlea na

 kumkuza binti yao kipenzi....

From:This Is Diamond