Blogger Widgets

May 20, 2013

Haya Sasa Baada ya Ngasa Kusaini Yanga:Sasa Check Hapa Picha Ngasa Akiwa Anakabidhiwa Jezi ya Yanga na Kuanza Kuibusu

Mrisho Ngassa akiibusu jezi ya Yanga baada ya kutambulishwa rasmi kurejea katika klabu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili asubuhi ya leo, makao ya klabu hiyo makutano ya mitaa ya Twiga na Jangwani, Dar es Salaam. 

Katibu wa Yanga, Lawrence Mwalusako akimkabidhi Ngassa jezi ya Yanga leo  From:Bin Zubeiry