Blogger Widgets

May 22, 2013

Hii Hatari:Mtwara Vurugu zaanza Tena Mabomu Yanarindima,Check Picha Za Mwanzo wa Tukio Ilivyokuwa

Leo ntwara tangu asubuhi kila huduma imefungwa watu wapo kimakundi makundi wanasikiliza bunge hasa bajeti ya wizara ya nishati na madini,ni magari ya ffu tu ndio yapo barabarani nayo hupata wakati mgumu kupita kwasababu ya mawe na magogo yaliyowekwa na vijana,baadhi ya watu kadhaa wamechukuliwa na askari eti kwakuwa walipita jirani na gari yao,askari wengi waliokuja si wa hapa ntwara wengi wametoka Masasi na Lindi. 
From:Audiface Jackson