Blogger Widgets

May 29, 2013

Isikilize Ngoma ya Chid Benz Aliyokesha Studio na Ibra Da Husler Kumuimbia Mangwea.R.I.P

Prod Mbezi aliyetengeneza wimbo huu anasema "hii ni ngoma ambayo chidy benzi alilia kwanza studio wakati anarekodi,pili ameimba kwa hisia sana na tatu mimi na yeye na ibra da hulser ndo tuliokesha studio kuonyesha ishara ya kumuenzi kaka yetu"