Blogger Widgets

May 29, 2013

Joh Makini Nae Kahairisha Show Yake ya Kesho Kupisha Msiba wa Albert Mangwea


 Rapper kutoka kundi la weusi ,Joe Makini ametangaza kutokuachia ngoma yake aliyotarajia kuitoa siku ya tarehe 30, kupitia ukurasa wake wa facebook, Joe amesema amesogeza mbele kuachia ngoma hiyo ikiwa ni pamoja na show aliyokuwa anatarajia kuifanya ndani ya club 71 Tegeta


huku  Mwana FA pia ameahirisha ile show iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu "the finest" iliyokuwa inatarajiwa kufanyika siku ya ijumaa hii, ili kuupisha msiba mkubwa uliotufika watanzania, msiba ambao kwa hakika wengi wameumia, msiba wa msanii wa hiphop Albert Mangwea a.k.a Ngwea, Kala pina pia ametangaza kuahirisha show yake iliyokuwa ifanyike siku hiyo hiyo,


tumepata msiba mkubwa wa msanii mwenzetu ngwear kwa nawaomba radhi funz wote kuwa tumeiharisha show yetu ya tarehe 31 msasani club mpaka ntakapowatangazia mda huu 2naomboleza

huku Izzo B nae akitangaza kuahirisha pia kwa show yake iliyokuwa ifanyike mkoani kwake mbeya.