Blogger Widgets

May 25, 2013

Kama Ulikuwa Humjui Atayetuwakilisha Leo Big Brother Africa,Mcheck Hapa Akiwa na Rick Ross Pamoja na Vanessa Mdee

feza-kessy-rick-ross-vanessa-mdee

feza-kessy-rick-ross-vanessa-mdee
Kwa mujibu wa ripoti kutoka kwenye   mitandao  mbalimbali nchini Tanzania, mrembo huyu, mwanamuziki Feza Kessy, ndiye atakayeiwakilisha Tanzania katika Big Brother Africa 2013 (BBA “The Chase.” Well, hizi ni baadhi ya picha zake.