Blogger Widgets

May 22, 2013

Kweli Huu Mziki ni Biashara Ukiwa Makini,Ona Hiki Kipya Kutoka Kwa Diamond Platnum na Ney wa Mitego

           NANUKUU KUTOKA KWA DIAMOND                       Napenda kumshukuru Mungu kwa siku ya leo kuwa mahali hapa
mzima kabisa wa afya.....
Napenda kumshukuru mungu hata kwa wale ambao awakuiona
siku ya leo na n.k
Kwa mara Nyingine tena Nawaletea tena Mpambano kati ya
Diamond Platnumz & Nay wa Mitego.....Yani
Bongo Fleva VS Hip Hop......Baada ya Tukio zima la hatari
lililotokea pale mbagala Darlive kwa kila mmoja
kushambulia vibaya Jukwaa na kuweka historia,wananchi wakawa
wanahitaji kujua Mshindi ni nan....?
Asa katika kudhihirisha Ubora wa Bongo Fleva & Hip Hop Tumeamua
 kumalizia Ubishi wetu kwa Pamoja tena
wananchi na wakazi wa Dar Es Salaam waje wenyewe kutoa maksi na
maoni kusudi tumpate mshindi......
Kati ya sisi Kwenye show viuno mbele Mbele
au Hip Hop watoboa Pua....!!

Kutokana na Mpambano kuwa mkali Darlive na
Kutambulisha Video ya Muziki Gani,Tukashindwa pata
Mshindi ndo Mahana Video aikuweza kuwekwa Kwenye Mtandao
kama Ilivyotarajiwa....!!

Kwa Mara ya kwanza Tena Ndani ya Ukumbi wako wa Kijanja.....
Pale Masaki,New Maisha Club Mataa yanapowakaga wakaga.......Pembeni I
 Myself Diamond Platnumz & Kulia ntakuwa na My Brother Nay wa Mitego.....
Tutaenda kukiwasha tena kwa moto zaidi ya Darlive....Safari hii
lazima mshindi apatikane iwe isiwe...!!
 Iwe kwa Njia ya kura zenu tujue kabisa Muziki upi unatamba
 mbele yenu....!!

Hii ni Yenu kwa Umoja tena Usikose kufika kumaliza utata
....Kwa Kiingilio cha Tsh 10,000/=  ya kitanzania
Siku ya Tarehe 26.5.2013 kuanzia saa 3 usiku mpaka Majogoo......
Tutaakikisha ile maisha club yote lazima steji zivunjike
Mahana Historia mpya inaenda kuandikwa pale....
Ballerz n Divaz Hii inawahusu sana....Siku Hiyo kama wewe ni mtoto
 wa Town utakuwepo hapa Kuona
Nini kitatokea.....Baada ya Hapo tutawashukuru Mashabiki zetu
kwa Video ya Mwaka,Kichupa Bora kwa mara ya
kwanza ndani ya maisha club utakuwa wa kwanza kuiona utakaefika
hapo na Suprise Kibao........