Blogger Widgets

May 31, 2013

Makala Maalumu:Jinsi Watoto Wa Mjini Wanavyojirahisisha Mjini na Kujianika Hasa Watoto wa Maskini Kisa Mazingira YaliyowazungukaNANUKUU HAYA MANENO KUTOKA KWA HUYU SISTER ALIAMUA KUSEMA YA MOYONI
"Wadada wengi wa mujini, Mimi binafsi nikiwemo, single na wake za watu wakiwemo tunaishi maisha SO FAKE AND DANGEROUS. Standards are so high, sanctions so strict, desire ya kukubalika na kumaintain status inatuua na kufanya tusiolewe ama hata tukiolewa tusidumu. Ni hatari sanaaaa!

When i was like 12 form 1 my big sis alikuwa chuo na alikuwa ana mibuzi kaipanga foleni! Wababa watu wazima, vikaka, waume za watu, purukushani. I was so ashamed of her! Nilimuonaje bad influence! Enzi hizo nataka kuwa Sister! Chezeya! Now looking at my Zigo La Zambi, i feel ashamed of my self that i once was actually ashamed of my sister and like water i followed the same course. SAD! SAD! SAD!

The roller coaster of life is too fast for us to catch up! Mtu ndo mzuri, ushasoma bachelor na masters, kazi zenyewe majanga, mshahara majanga plus plus, kwenu ndo majanga square na bado inatakiwa umaintain status mjini hapa, kuchangia mashosti party, kuonekana viwanja, kumake appearance kwenye social events, kuvaa pamba grade 1, upange hata room 1, sio kula kulala kwa wazee. Yaani ili u survive You Better Be Paid. N the sister isn't paid. Kukubali kudeclare Bankruptcy nako kunataka roho ngumu sio mchezo. Matokeo yake ndo unatafuta financing kwa sie wenye roho za korosho.

Hapo ndo mwanaume kakuapproach humpendi ila ndo financing anaiweza, basi unamuweka Zombi kumkubali hukubali, kumtosa humtosi, kila siku kukopa wakati nia ya kulipa huna! Too much taking advantage of people. Hata kama hulali nae sawa hujazini ila Mwizi na Mlaghai. Wanaume lukuki unawamaintain kama backup plan!

Mtu unakuta kijana mwenzio mmeajiriwa wote juzi anakwambia njoo tuanze maisha, wapiiiiii! Ukipiga hesabu kupanga upande wa nyumba kimara, kujibanaaa, mtoto, harusi, unahisi kuzeeka ghafla! Mrs unapanda dala! Hataaa! Roho haijipi kabisaa. Matokeo yake tunaparamia senior bachelors waliojijenga siku nyingi kumaintain status. Hawa senior bachelors ni migumegume iliyomshinda mtume ukiolewa unatesekaje sasa. Jst the nxt 10 yrs wale reject zetu wanakuwa washatoka kimaisha afu sie bado tunang'aa sharubu! Majuto ni mjukuu siku zote. Mtu haolewi sio hajapata ila Hajabahatisha Bingo!!!!!!!! Na wengine hata akiolewa mafiga matatu kama kawa kufanikisha mambo nyumbani!

Tubadilike jamani!!!!!!!! For the better! Mungu Hapendi. (Mwenyewe napenda kweli kubadilika ila kudeclare BANKRUPTCY sio masiharaa! Kila nikijaribu kurudi kundini wapiiii!) Hahahaaaaaaaa!(Its not a laughing matter and im ashamed of my self)

Ukijisikia Kutukana We Tukana Tu Upunguze Nyongo Mwilini!!!!!!!!!!! Japo Akili ni Nywele Ila Sio Za Kwapani!"
From:Fununu Habari