Blogger Widgets

May 26, 2013

Mkono wa sheria Umewageukia Wachekeshaji wa Ze Comedy Kwa Kupiga Hizi Picha kwa Kuwazalilisha


Picha za kundi la Ze Komedy  linalorusha kipindi chake kupitia televisheni ya East Africa TV zinazowaonesha wasanii hao wakiwa na mabint ufukweni zimechukua sura mpya baada ya wanasheria kuahidi kuzisaidia familia za wazazi wa mabint hao.

Wakitoa maoni yao kwa nyakati tofauti, wananchi hao wamesema" Nimeziona picha hizo kupitia mtandao wenu kweli imeniuma kama mzazi kwani huo ni unyanyasaji ambao haukubariki hata kidogo naziomba familia za mabinti hao kuchukuwa hatua kali ikiwa ni pamoja na kushtaki ili iwe fundisho kwa wasanii wengine wanaopenda kudhalilisha watu wengine kwa masrahi yao binafsi" Alisema Fortunatus Kasomfi ambae ni mtanzania anaeishi nchini Afrika Kusini

Aidha nae Hawamu Juma ambae ni mkazi wa Arusha maeneo ya Unga Limited ambae ni Mwanasheria maarufu Mkoani humo alioneshwa kusikitishwa sana na tukio na kuwashauri wazazi wa wasichana hao kumtafuta kwa ajili ya kuwafungulia mashtaka wasanii hao

" Napenda kuwashauri wazazi wa wabinti hao kama wanahitaji msaada wa kisheria wanitafute kupitia simu namba 0713-146416 nitawapa mawazo ya kitaalam ya kisheria ili wasanii hao wafikishwe mahakamani" Alisema Mwanasheria huyo



Taarifa za ndani ya chungu zinadai kuwa kulikuwa na ushawishwaji mkubwa kwa mabinti hao wakati wa kupigana picha hizo kwa madai kuwa watasaidiwa kuwa mastaa kama watapiga picha hizo na mastaa hao.

Huyu ni Happy na Master Face wakifanya Uchafu wao....Hapa wanatomasana kabla ya uzalendo kuwashinda na kuamua kuvunja amri ya sita...








Tayari kuna taarifa kuwa baba mzazi wa mmoja wa wasichana hao ambae anaishi Tabata ameanza kuchukuwa hatua za awali kwani siku ya tukio msanii wa kundi la Komedy Manaiki Sanga alifika nyumbani kwa bint huyo na kumchukuwa kwa madai kuwa anaenda nae Location.

Mpaka sasa kiongozi wa kundi hilo ambaye ni Mtanga ameshindwa kuchukuwa hatua yoyote dhidi ya wasanii wake walihusika na tukio hilo chafu .... 

 
From:Freebongo

No comments:

Post a Comment