Blogger Widgets

May 15, 2013

MMH!! Hebu Pitia Hapa Uone Haya Maongezi ya Linah,Barnaba na Gadnaer G Habash Juu Ya Show ya Lady Jay Dee.UKWELI UMEJULIKANA

Linah na Barnaba ni watoto wazuri sana
Hawana makuu ila katika hili kuna jambo limepita katikati
Ambalo liko nje ya uwezo wao na kuwalazimu wao kukanusha kuwa hatukukubaliana malipo katika show, mbali na kuwa walishachukua pia mpaka advance. Wote wawili
Wao wote wawili humuita Captain Dady:

Yafuatayo ni mazungumzo kati ya Dady na mtoto:

CAPTAIN: Mwanangu ndo hii namba yako?
LINAH:     Ndyo baba
LINAH:     Sasa baba mimi nafanya ***miln

CAPTAIN: Ok hiyo unastahili kabisa, Safari hii sina mdhamini bajeti yangu haifiki huko kwahiyo sitamudu, lakini next time nitajitahidi tuwe pamoja mwanangu.
Nitakualika VIP siku hiyo kama una nafasi, Okey!

LINAH: Ouhk but we can talk1 ulikuw unahwmuch?

CAPTAIN: Linah mi nna MLN*** ndugu yangu karibu tushirikiane, Am sure kuna siku nitashiriki ktk jambo lako pia. Tatizo sina mdhamini hata mmoja na napenda tuwe pamoja siku hiyo.

LINAH: Sawa dady
CAPTAIN: Thanks Kido

Siku walipotakiwa kuja ku shoot drops za TV na kuchukua advance

LINAH: Hi dady! Naweza pitia hapo nw?

Captain akampigia akamuambia aje, na wakafika wote wawili pamoja na Barnaba
Na baada ya siku hiyo, wosia ukatoka mitandaoni.
Kilichofuatia Linah alimfuata Barnaba usiku akamtupia bahasha akakimbia. "Kwa maelezo ya Barnaba".

Hivyo Barnaba akamuambia pesa kila mtu alipokea kwa mkono wake twende tu tukamrudishie dada, Dada ni muelewa atajua tu nini kimetokea. Linah akakataa akatimua zake.

Nashukuru kwa ustaarabu wa vijana hawa wawili wamekuwa waaminifu, Barnaba amezirudisha pesa zote, zake na za Linah na kuomba radhi kwa yote yaliotokea.

Gardner hajawahi kumtumia mtu yoyote anaehusika na uongozi wa THT msg kuwa eti majina ya Linah na Barnaba yaliwekwa by mistake kama ambavyo iliongelewa na moja wa viongozi wa THT

Mimi bado nawapenda sitawahukumu na ninaomba muwaelewe tu kuwa wamebanwa na hawana ujanja japo dhamira yao ilikuwa ni kushiriki show ya miaka 13.

Ila kama hakukuwa na makubaliano kama ambavyo Linah na Barnaba wameshinikizwa kuongea, walikubalije kuja mpk kuchukuliwa kwenye video camera huku wakijua wazi huo ni ushahidi tosha.....Angalia video Hapo Chini upate majibu