Blogger Widgets

May 28, 2013

Msanii Mabeste Kuanza Kuimba Kwaya

Msanii wa muziki wa kizazi kipya aliye chini ya B’Hits Music Group, Mabeste ameamua kubadilika kidogo na kuongeza wigo wa nyimbo anazofanya ambapo sasa atakuwa akifanya pia kwenye muziki wa gospel.
DSC_0251
Akiongea na Bongo5, Mabeste amesema ameamua kuimba gospel kwakuwa ndio muziki unaogusa mambo ya kijamii na kuelimisha na rap itabaki kama biashara.
“Nimefanya kufanya rap a commercial lakini sasa nina design nyingine ya muziki ambayo nataka kuimba ambayo itakuwa inahusu kijamii as kuelimisha zaidi kama gospel ndiyo kitu ambacho sasa hivi nataka nikifanye na nitarealese haina hata miezi miwili,
ambayo itakuwa kwenye aina ya gospel.”
From:Bongo5