Blogger Widgets

May 18, 2013

Ney Wa Mitego Soon Kuitwa Baba.Na Huyu Ndio Mtoto Mzuri mwenye Ujauzito wake


b89c11b6b7ab11e286be22000a9f139c_7
0bb7758abce711e2935222000a1fb825_7
So much is happening in the Bongo Flava scene!! TID anataka kuoa, Nurah anatarajia kufunga ndoa June 8 na sasa Nay wa Mitego naye anategemea kuitwa baba, basi raha tupu!!Kupitia Instagram
Nay aka True Boy ambaye hivi karibuni amekuwa dhahabu kwenye show za promotion za makampuni ya simu, amekuwa akishare picha za msichana ambaye kwa mujibu wake ni ‘Mama Kijacho Wake’. “Mic u mama kijacho wanguuuuuuuu…” aliandika hivi karibuni kwenye picha ya msichana huyo.
From:Bongo5