Blogger Widgets

May 22, 2013

Pata Picha,Video na Audio ya TZ FEMALE ALL STAR,Wakipinga Tatizo la Fistula.Niceeeee

wasanii wa kike nchini, wamejitolea kutengeneza wimbo unaowahamasisha wakinamama kujitoa na kuona kama fistula ni ungonjwa ambao upo na una tibika, na kuwahamasisha wakina mama kutokuona aibu na kubaki nao nyumbani. wimbo huo umewashirikisha wasanii kama Mwasiti, Recho, Lina, Vanessa Mdee, Feza Kessy,Keisha, The Trio, Dayna, Maunda Zorro, Pipi, Queen Darlin, Vida, Zuhura, Meninnah, Vumilia,Baby J, Sundy Gaga.usikilize hapa chin


No comments:

Post a Comment