Blogger Widgets

May 21, 2013

Picha Jinsi Camera Ilivyomnasa Baba Yake Dully Sykes Akimalizia Kusokota Bhangi na Kuificha

 Baba mzazi wa mwanamuziki wa bongo flava nchini Dully Sykes, Mzee Sykes pichani kama inavyoonekana akiwa na madawa harafu ya kulevya aina ya bangi mkononi huku mbegu mbegu zikiwa zimedondoka chini.


Dully Sykes

Baba mzazi wa mwanamuziki nyota wa bongo flava nchini Dully Sykes Mzee Sykes hivi karibuni alinaswa na kamera ya Xdeejayz akichambua bangi mikononi mwake kwa ajili ya kuitumia.

Tukio hilo la aina yake lilitokea maeneo ya Mikono nyumbani kwa msanii aliyefahamika kwa jina la Shebo, na kushuhudiwa na papalazi wetu ambae alifanikiwa kumpiga picha mzee huyo akiwa na bangi mkononi mwake.

Mzee huyo akiwa hana shaka yoyote aliendelea kuchambua bangi hiyo huku mbegu zake zikidondoka chini kama mshere unavyoonesha hapo pichani.

Hata hivyo mzee huyo alishindwa kuendelea na zoezi la kuitayarisha bangi hiyo kutokana na kumtilia wasi wasi mwandishi wetu akidhani ni afande hali ilimfanya kukosa amani muda wote wakati hadi mwandishi wetu alioondoka na yeye alipata wasahaa wa kuendelea kuiandaa bangi hiyo.