Blogger Widgets

May 6, 2013

Picha za Ommy Dimpozi alivyoshuhudia Live Uwanjani 'Nou Camp' Mechi Kati ya Barcelona na Real Betis

Mkali wa Bongo Flava Ommy Dimpoz aliyepo ziarani barani Ulaya, jana ameishuhudia live uwanjani mechi ya Barcelona na Real Betis kwenye uwanja wa Nou Camp wa Barcelona.
photo(3)
Katika mtanange huo, Barcelona ilishinda kwa bao 4-2.
photo(1)
photo(4)

photo(5)
photo(6)
photo


No comments:

Post a Comment