Blogger Widgets

May 31, 2013

Picha Za Simanzi Nyumbani Kwa Mama wa Marehemu Albert Mangwea

 Mama Mzazi wa msanii Albert Kenneth Mangwair, Bi Denisia Mangwair akiwa na simanzi 
msibani leo. 
msibani leo. 
 
Dada wa marehemu, Magreth Mangwair, naye akiwa na majonzi ya kuondokewa na kaka yake
                          
Ndugu na jamaa wakimfariji mama Mangwair.
NI simanzi na majonzi kutoka nyumbani kwa Mama Mzazi wa msanii Albert Kenneth Mangwair, Bi Denisia Mangwair (63) maeneo ya Kihonda ‘Mazimbu Road’ mkoani Morogoro ulipo msiba wa msanii huyo. Msibani hapo pia alikuwepo dada yake marehemu, Magreth Mangwair ambaye alikuwa na majonzi kwa kuondokewa na kaka yake mpendwa.
From:GPL