Blogger Widgets

May 30, 2013

Report ya Millard Ayo:M The P Rafiki wa Marehemu Albert Mangwea Atoka ICU na Kuwa kwenye Hodi ya Wagonjwa Wa Kawaida
Kwa mujibu wa ukurasa wa Twitter wa  Millardayo ambaye yupo nchini Afrika Kusini alidai kuwa msanii Mganza Pembe 'MP To The P' amepata nafuu na teyari ameshatoka katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) na kupelekwa katika hodi ya wagonjwa wa kawaida hali hiyo inaonyesha msanii huyo afya yake inazidi kuimarika.

 #Breaking Baada ya M2theP kuondolewa ICU na kupelekwa
kwenye wodi ya kawaida, amepata nafuu ya kuongea na kuanza kuuliza Ngwea yukwapi? unaweza kushea hii post mtu wangu