Blogger Widgets

May 26, 2013

Samahani Lakini Kwa Hizi Picha ya Elizabeth Michael a.k.a LULU


Muigizaji wa kike aliyekulia kwenye tasnia ya bongo movie, kwa kuwa alianza tangu akiwa mdogo na hadi sasa kipaji chake kinazidi kung’aa. Haishii kung’arisha kipaji chake tu bali anazidi kuwa na muonekano wenye mvuto pia.


Lulu anaonekana hana stress tena kama ilivyokuwa siku kadhaa zilizopita alipokuwa chini ya ulinzi mkali akituhumiwa kusababisha kifo cha muigizaji mwenzake Steven Kanumba.


Huu ndio muonekano wa Lulu sasa hivi: