Blogger Widgets

May 23, 2013

Sijui ni Ugumu wa Maisha Au Ndio Kufa Kufaana


Ajali hii ilitokea jana maeneo ya Chang'ombe - maarufu kama machinjioni 


Kazi ilianza

Watu waliendelea bila wasiwasi wala woga

Watu bila hiyana waliendelea kuchota mafuta bila kujali majeruhi au hasara ya wamiliki wa magari husika, Je tutafika?

From:ChingaOne