Blogger Widgets

May 29, 2013

Sikiliza na Download Ngoma Kutoka Kwa Producer Mswaki Alivyoflow Kama Marehemu Albert Mangwea Akizungumzia Kifo Chake

Huu Wimbo Ameimba Producer wa mziki anayejulikana kwa jina la Mswaki Kutoka Studio ya Black Curtains....Ameimba kama Marehemu Ngwear Akiimba baada ya Kifo chake...Sikiliza Hapa chini: Big up Sana Mswaki