Blogger Widgets

May 30, 2013

Sikiliza Sasa Mjadala Wa Leo Uliosababisha Wabunge Wote Kusimama na Kutaka Kushambuliana na Kutukanana Live!!

Za moto moto leo kutoka kwenye tunaloliita Bunge La Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, sintofahamu imetokea ndani ya bunge baina ya wabunge wa Cuf na Chadema, hali iliyopeleka wabunge wa vyama hivyo kutaka kupigana ndani ya Bunge.Sikiliza ilivyokuwa hapa