Blogger Widgets

May 17, 2013

T.I.D Aambulia Matusi Baada ya Kutangaza Kutofika Kwenye Show ya Jay Dee Komando


TID a.k.a MNYAMA  leo amejikuta  akiambulia  matusi  ya  nguoni  baada  ya kuitosa  show  ya  Lady Jaydee  na  kuandika  chenga  zake  katika  Account yake ya Facebook....
                          
Hizi  ni  comment  za  hao mashabiki  wake  walioamua  kumharibia  siku  yake.....