Blogger Widgets

May 23, 2013

Wakati Leo Prezoo Akiwa anaelekea Mahakamani Diva Loveness Love Nae Akamuandikia Ujumbe Huu


                            BK0-lgUCMAAGcQr
Licha ya kutoweka nini kilichompeleka mahakamani, leo Prezzo alitweet kueleza kuwa ana imani na mfumo wa mahakama ya Kenya na kwamba ukweli utabainika. “Thanks to everyone who wished me well. I have faith with the Kenyan judicial system. The tuth shall prevail.” Kutokana na hatua hiyo, mtangazaji wa Clouds FM, Diva ambaye kwa mujibu wake mwenyewe ni mpenzi wa Prezzo amemtumia ujumbe huu Prezzo:
                                    3e8012f6c39f11e290d222000a9e0851_7
   
 From:Bongo5