Blogger Widgets

May 29, 2013

Watu Wanajiuliza Kwa Nini Leo Lady Jay Dee Alilia Live EA Radio alivyokuwa anaulizwa Kuhusu Kifo cha Mangwear

  Picha ya mwisho walionitumia Mangwair na Maggie mwezi huu May, wakiwa South Africa #ANACONDA STYLE
Ambapo Ngwair alimwambia Maggie "Lets do Anaconda Style"
Roho inaniuma sana, sana nitamkumbuka kama moja ya wasanii niliokuwa nao kwa karibu sana kikazi na katika mitoko.

Nitasikikika kwenye Super Mix ya East Africa Radio kuanzia saa tatu kamili asubuhi hii kwa mengine machache ya kumuenzi kipenzi cha wengi Ngwair.

May his soul Rest In Eternal Peace