Blogger Widgets

June 7, 2013

Video Ya Ngono Ilizua Gumzo Big Brother Africa Week Hii Kati ya Bolt na Betty Si Hii Hapa.Duuuh Usiku wa Manane

 
Mpaka sasa tayari tumeshuhudia couple 4 za housemates katika Big Brother ‘The chase’ , lakini couple ya mu Ethiopia Betty na mu Sierra Leon Bolt ndio ilikuwa ya kwanza kufahamika katika wiki ya kwanza toka mchezo uanze (May 26).

bolt & betty

Couple ya Bolt na Betty ndio ilikuwa ya kwanza pia ku’kiss kama uthibitisho wa ‘love at first sight’. Baada ya hapo maisha ya mjengoni yaliendelea vizuri huku mapenzi ya ‘love birds’ hawa yakizidi kukua kila kukicha japo waliamua kupeleka mambo taratibu.Lakini wiki hii inaonekana kiu ya toka (May 26) iliwakaba ‘love birds’ hawa na kuamua kuikata kwa kufanya kile wanachofanya wapenzi wanapokuwa faragha (watu wazima naamini mnanielewa) yes , they did it! Bolt iliifunga nut ya Betty usiku wa manane wakati washiriki wenzao wakiwa wamelala!!Ikiwa ni sehemu ya kujaribu kuyaokoa mapenzi yao, wiki hii baada ya Betty kutwaa ukuu wa Diamond House (HOH) aliweza kupata mamlaka ya kumuokoa mshiriki yeyote anayekuwa ameingia kikaangoni. 

Hivyo aliitumia nafasi hiyo kuliokoa penzi lake kwa kumuokoa Bolt ambaye alikuwa amependekezwa kuingia kikaangoni, na kumchagua Feza Kessy wa Tanzania aingie kikaangoni badala ya kipenzi chake.
Click Hapa Ujionee Mwenyewe